Wababe wa aaanga
Bado tupo hapa china kwenye warehouse zetu
kuendelea kuangalia utendeji kazi.
Usisumbuke, MGlogistics ndio suluhisho lako. Uhakika wa mizigo, uhakika wa muda, na usalama thabiti wa mizigo yako kutoka China hadi Tanzania.
MG AIR CARGO 🇨🇳🇹🇿 — RATIBA WEEK HII NDEGE
Safari za ndege za moja kwa moja kutoka Guangzhou na Hong Kong kuja Dar es Salaam na Zanzibar. Fuatilia tarehe za kupokea, kuondoka na kutua.
→
→
→
→
📌 MAELEKEZO MUHIMU KWENYE MZIGO WAKO
Tafadhali hakikisha mzigo wako unapotumwa kwenye warehouse zetu za China una taarifa hizi tatu (3) muhimu zilizoandikwa kwa uwazi:
Weka jina lako kamili au Shipping Mark unayotambulika nayo.
Namba ya simu inayopatikana WhatsApp kwa ajili ya taarifa za mzigo.
Taja eneo: Dar es Salaam, Zanzibar, au mkoa mwingine.
Office kwa Upande wa Tanzania
-
Dar es Salaam: Mtaa wa Lumumba na Pemba
Above Semvua Enterprises, jirani na Amana Bank (Benki yako Kiganjani) -
Zanzibar: Thabit Kombo Mall
Huduma zote za parcel release, Airport customs & delivery Unguja na Pemba.
Wasiliana Nasi — MGLogisticsltd
Tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp kwa maswali, bei za kilo (rates), na booking ya nafasi ya mzigo wako: